Matokeo ni D,D,D anaweza kupata chuo?

Matokeo ni D,D,D anaweza kupata chuo?

muzdalifa

Member
Joined
May 30, 2014
Posts
58
Reaction score
8
hv kwa BRN hii diploma za afya watachukua kuanzia ngapi mfano aliyepata DDD anaweza kupata chuo cha diploma cha afya mfano lab technician na Co msaada jamani kwa mwenye ufumbuzi na kama vyuo vipo tupeni link zao
 
Mdogo wangu ana D,D,D matokeo form six Je anasifa ya kuomba chuo kikuu
 
Back
Top Bottom