GE2025 Matokeo ni mali ya tume ya uchaguzi ama ni mali ya wananchi?

GE2025 Matokeo ni mali ya tume ya uchaguzi ama ni mali ya wananchi?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,982
Reaction score
51,157
NO REFORMS NO ELECTION.

Kama kanuni za uchaguzi zinaelekeza kuwa majina ya mawakala wa vyama vya siasa yatapelekwa vituoni na msimamizi wa uchaguzi. Jee mawakala wanawajibika kwa wagombea ama Tume ya uchaguzi?

Kama si lazima matokeo kubandikwa kituoni na si lazima pia wakala wa mgombea kupewa nakala ya matokeo, jee kura na matokeo yake ni mali ya wananchi ama ni mali ya Tume ya Uchaguzi?
 
Ndugu, Bongo hakunaga uchaguzi, Kuna futui ya tume,ccm na polisi .
Maana ni kama mazingaombwe. Nipige kura, wakala wa niliyempigia kura si lazima apewe matokeo na matokeo pia hayabandikwi kwenye kituo cha kupigia kura😇.

Sasa Mimi nitajuaje kama kura yangu iko salama?
 
Back
Top Bottom