NO REFORMS NO ELECTION.
Kama kanuni za uchaguzi zinaelekeza kuwa majina ya mawakala wa vyama vya siasa yatapelekwa vituoni na msimamizi wa uchaguzi. Jee mawakala wanawajibika kwa wagombea ama Tume ya uchaguzi?
Kama si lazima matokeo kubandikwa kituoni na si lazima pia wakala wa mgombea kupewa nakala ya matokeo, jee kura na matokeo yake ni mali ya wananchi ama ni mali ya Tume ya Uchaguzi?