Matokeo St. Agustine Mwanza yanatia aibu

JOEL ELPHAS

Member
Joined
Feb 8, 2013
Posts
20
Reaction score
9
Leo tarehe 13.8.2014 Chuo kikuu cha mtakatifu agustine main campus mwanza imetia fora baada ya kubandika matokeo ya semista ya pili ambayo idadi kubwa ya wanafunzi wamesap somo la basic English ya katigula na comm skills kwa mwaka wa kwanza hivyo wote walio supp mitihani ya sup inatarajiwa kuanza tarehe 8.9.2014
 
We kweli mwanafunzi....habari haina coherent
 
sasa matokeo yao ya kidato cha nne tu waliya-standardize, degree unategemea nini.

Ni halali yao bwana.
 

kama huingii vipindi vya babu kati sahau kufaulu somo lake...nimemmiss sana..huyo mzee havaagi viatu zaidi ya sendo toka zama hizo..
 
hiyo ndio saut bwana pale shule tu ukileta janja janja unambuka.
 

.... Mwandishi na Mwanzilishi wa Uzi huu ni Msomi wa Chuo Kikuu hapa Tanzania. Kazi kweli kweli!:A S confused:
 

St. Augustine si ndo inaongoza kwa skendo za picha chafu.. Sasa unategemea mtapata matokeo mazuri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…