Matokeo St. Agustine Mwanza yanatia aibu

Matokeo St. Agustine Mwanza yanatia aibu

Chuo hiki wanafunzi wako bize kuuza nyuchi na kukobolewa tigo lazima Matokeo yawe hivi
 
leo tarehe 13.8.2014 Chuo kikuu cha mtakatifu agustine main campus mwanza imetia fora baada ya kubandika matokeo ya semista ya pili ambayo idadi kubwa ya wanafunzi wamesap somo la basic English ya katigula na comm skills kwa mwaka wa kwanza hivyo wote walio supp mitihani ya sup inatarajiwa kuanza tarehe 8.9.2014
Ivi wewe ni mwanafunzi wa chuo Kikuu kweli.Kama ni kweli badilika hata ukiwa unatoa Taarifa. Mfano,idadi kubwa unamaanisha nini? Sema tuelewe mfano,kati ya watu 700 watu Mia 500 au 600 wamepata supp. Afu cha pili,matokeo yao si ndiyo yaliyooanza kuchakachuliwa. Elimu yetu ya sasa ni sawa na ngoma ya Baikoko.
 
kuwa na akili wewe .....
unadharau SAUT unahs hiko chuo unachosoma kitakusaidia nn katika kuinua maisha yako siyo kudharau chuo wakat huna lolote la maana

Hiki ni chuo cha wanafunz wanaojifunza upigaj picha za uchi na picha za ngono.. Ndo mana matokeo yao ni ya kiBRN
 
kama huingii vipindi vya babu kati sahau kufaulu somo lake...nimemmiss sana..huyo mzee havaagi viatu zaidi ya sendo toka zama hizo..

kweli bosi- mzee wetu haachagi sendo kiatu! Mr. Good evening every one.. Today we continue with parts of verbs!
 
Ivi wewe ni mwanafunzi wa chuo Kikuu kweli.Kama ni kweli badilika hata ukiwa unatoa Taarifa. Mfano,idadi kubwa unamaanisha nini? Sema tuelewe mfano,kati ya watu 700 watu Mia 500 au 600 wamepata supp. Afu cha pili,matokeo yao si ndiyo yaliyooanza kuchakachuliwa. Elimu yetu ya sasa ni sawa na ngoma ya Baikoko.

asee ni kweli mkuu- anajifanya mwandish wa habari.. #provide statistical figures and adhere coherence in the writings!
 
Back
Top Bottom