Nashukuru lakini niltegema watu wa SUA watupe ushindi mnono kuliko huu.Yafuatayo ni matokeo ya kura YA Urais iliyopigwa katika Campus ya SUA (Main) kwa vyama viwili muhimu
GUEST WING A
CHADEMA= 44
CCM = 44
GUESTWING B
CHADEMA = 64
CCM = 56
MULT-PURPOSE HALL A
CHADEMA = 54
CCM = 31
MULTI-PURPOSE HALL B
CHADEMA = 62
CCM = 50
MULTI-PURPOSE HALL C
CHADEMA = 64
CCM = 47
Nawasilisha wakuu