Elections 2010 Matokeo SUA Morogoro

Elections 2010 Matokeo SUA Morogoro

Capital

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Posts
1,468
Reaction score
1,063
Yafuatayo ni matokeo ya kura YA Urais iliyopigwa katika Campus ya SUA (Main) kwa vyama viwili muhimu

GUEST WING A
CHADEMA= 44
CCM = 44

GUESTWING B
CHADEMA = 64
CCM = 56

MULT-PURPOSE HALL A
CHADEMA = 54
CCM = 31

MULTI-PURPOSE HALL B
CHADEMA = 62
CCM = 50

MULTI-PURPOSE HALL C
CHADEMA = 64
CCM = 47

Nawasilisha wakuu
 
Tunakwenda jamaaniiiii.................yaani hapa natamani ningekua Tz nikawa najimwaga mtaani tuu kushangilia...Dr wa ukweli nchi ni yako!
 
Shukrani kwa matokeo Capital, unaweza kutuhabarisha haya ni matokeo ya Urais, ubunge au udiwani?
 
Aya ndo maeneo CCM inabidi waambulie Zero.
Ata Bukoba vijijini wanawashinda
 
Yafuatayo ni matokeo ya kura YA Urais iliyopigwa katika Campus ya SUA (Main) kwa vyama viwili muhimu

GUEST WING A
CHADEMA= 44
CCM = 44

GUESTWING B
CHADEMA = 64
CCM = 56

MULT-PURPOSE HALL A
CHADEMA = 54
CCM = 31

MULTI-PURPOSE HALL B
CHADEMA = 62
CCM = 50

MULTI-PURPOSE HALL C
CHADEMA = 64
CCM = 47

Nawasilisha wakuu
Nashukuru lakini niltegema watu wa SUA watupe ushindi mnono kuliko huu.
 
Safi sana tunajua hapo wasomi wako nyumbani maana walinyimwa nafasi
 
Hizi zimepigwa na wanavijiji wanaozunguka campus (Waluguru). Si mnjuwa watoto wa wakulima wamefunga? Hawajapata nauli ya kuja kutimiza haki yao.
 
Supu ya kuwalisha CCM karibu inaiva halafu tutamwuliza JK hivi ni akina nani hao aliosema ......."absolutely ridiculous.........."
 
SUA bwana hata vijijini mnashindwa na wakulima. Kweli mnamendea nafasi za uwazili km msola, na kombani. changamkeni nchi inarudi mikononi mwa wananchi
 
Ukitaka kuona kukubalika kwa mgombea angalia sana katikamaeneo ya maelites wa jamii husika. Chuo kikuu cha dar es salaam pale mfano, CCM haina chao, ubungo, Sua na kadhalika.CCM hushinda sio kwa sababu wanafaa ni kwasababu majority ya wapiga kura hawaelewi mambo.

Mwaka huu CCM tupa kuleeeeeeeeeeee!!
 
Back
Top Bottom