Elections 2010 Matokeo tarime,hai,same mashariki,ukerewe,kahama,bukombe na shinyanga vipi??

Elections 2010 Matokeo tarime,hai,same mashariki,ukerewe,kahama,bukombe na shinyanga vipi??

Huko ni kwamba Wapinzani wameshinda. Lakini kwa maelekezo ya NEC/CCM, Wasimamizi hawaruhusiwi kutangaza hayo matokeo mpaka kwa kibali chao baada ya kuyafanyia MCHEZO MCHAFU au Uchakachuaji.

Hapa tunadanganyana THERE IS NO FREE AND FAIR ELECTIONS IN TANZANIA.
Kwanini NEC/CCM mnatuchezea akili????Yaani pale ambapo CCM mmeshinda mnatangaza chap chap. Lakini maeneo ambayo CHADEMA,CUF,NCCR,UDP wameshinda mnatoa sababu za KIPUMBAVU KABISA.

Mnataka kutupeleka kwenye machafuko kwasababu ya UJINGA WENU WA KUSHINDWA KUSOMA ALAMA ZA NYAKATI????
 
tume ya uchaguzi ya CCM inatangaza majimbo waliyofanikisha CCM!
 
ccm ni wapuuzi kuanzia jk hadi jaji Makame ambaye si jaji tena bali kibajaji ha ccm.
 
tarime ccm tiyari wamerudisha jimbo
 
Back
Top Bottom