Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
kwani shida ni mitihani? shule nyingi hazina walimu vijijini huko.watoto hawakuandaliwa walimu walikuwa kwenye migomo hayo matokeo mazuri yangetoka wapi? asituchoshe hapa!Bi. Ndalichako, amepeleka nakala halisi za mitihani ili kuthibitisha baadhi ya wanafunzi, waliandika madudu, matusi na wengine wameandika "versi!". Kitendo cha kupeleka nakala halisi, badala ya kupeleka copy, ni kinyume cha kanuni, taratibu na sheria, kwa sababu mitihani halisi, ni miongoni mwa documents ziitwazo, "classified documents" ambazo zinakinga ya "confidentiality", linapotokea suala lolote linahusu kuonyeshwa kwa mitihani hiyo, Mkurugenzi wa NECTA, hana mamlaka ya kujibebea nakali halisi za mitihani hiyo, simply because mitahani hiyo iko in possession ya documents hizo!, alipaswa kutoa nakala, yaani copy na kupeleka TBC-1 na sio kupeleka nakala halisi!. Huku ni kujikanyaga kanyaga just to seek public sympathy ya justification ya matokeo ya mwaka huu kwa ku potray kuwa NECTA has no hand!, ni watahiniwa wa mwaka huu tuu ndio Vibonde!, na kuthibitisho hilo, ameleta mitihani halisi kuonyesha hivyi ndivyo walivyo!.
Pasco.
kwani shida ni mitihani? shule nyingi hazina walimu vijijini huko.watoto hawakuandaliwa walimu walikuwa kwenye migomo hayo matokeo mazuri yangetoka wapi? asituchoshe hapa!
Public sympathy kwa kitu gani ambacho kakifanya against public interest? Kwani hatua walizochukuliwa public inaona hazikustahili? Ni kama umemuattack huyu mama bure. Kwa logic sioni kama kuna lolote kakosea. Watoto wamechemka, tatizo linajulikana limeanzia serikalini na walimu wake thats all.Wanabodi,
Baada ya Baraza la Mitihani la Taifa, NECTA, kutangaza Matokeo Tata ambayo yalitangazwa na Waziri wa Elimu badala ya Mkurugenzi wa NECTA, Mkurugenzi huyo, Bi. Joyce Ndalichako, ameibukia TBC-1 na yuko live kwenye kipindi cha Jambo.
Wenye access hebu shuhudieni jinsi anavyojikanyaga kanyaga kwa kupeleka karatasi halisi za kilichoandika na baadhi ya wanafunzi, kwa kupeleka zile zilizoandikwa matusi, ili kupata public sympathy kwa kilichotokea!.
Endeleeni kumfuatilia.
Pasco.
Pasco hivi NECTA kazi yao ni kufundisha au kutaini wanafunzi? Ukiangalia vyombo vyote vya habari vinaiangalia NECTA kama wao ndio wenye sababu ya wanafunzi kufeli bila kuangalia nani mwenye wajibu wa kuwaandaa wanafunzi hao yaani Commissioner wa elimu. NECTA walaumiwe kama walitunga mtihani ambao hautokani na "syllabus" inayotumika.Wanabodi,
Baada ya Baraza la Mitihani la Taifa, NECTA, kutangaza Matokeo Tata ambayo yalitangazwa na Waziri wa Elimu badala ya Mkurugenzi wa NECTA, Mkurugenzi huyo, Bi. Joyce Ndalichako, ameibukia TBC-1 na yuko live kwenye kipindi cha Jambo.
Wenye access hebu shuhudieni jinsi anavyojikanyaga kanyaga kwa kupeleka karatasi halisi za kilichoandika na baadhi ya wanafunzi, kwa kupeleka zile zilizoandikwa matusi, ili kupata public sympathy kwa kilichotokea!.
Endeleeni kumfuatilia.
Pasco.
Inawezekana nikawa nime-miss kitu, lakini sijaona wapi anapostahili lawama huyu mama. Kama maandalizi toka mwanzo hayakuwa mazuri, sasa tunaanzaje kumlaumu huyu bi mkubwa? Kwani maandalizi ya kufanya mtihani yanaanzia kwenye chumba cha mtihani? Mwanafunzi kashuka na the so called verses za bongo flavor, Ndalichako afanye nini?
Tukubali kuwa wote tumeshiriki kwenye matokeo mabaya ya watoto wetu. Mzazi, umefanya nini kuhakikisha mwanao anajiandaa vema na mitihani let alone kujijengea mazoea ya kujisomea? serikali, imehakikishaje kuwa mwanafunzi anapata mazingira swadakta ya kumwezesha kufanya vizuri kwenye mitihani? Hii ni kuangalia mifumo yake yote na miundo mbinu ya elimu pia. Mwalimu naye nafasi yake ikawaje kwenye kumsaidia mwanafunzi wake anafanya maandalizi since day one na sio kwa dhana ya 'ng'ombe kunenepeshwa siku ya mnada'?
kuna factors nyingi zimechangia hawa watoto kufeli mkuu,hata watoto wenyewe wanahusika maana wenyewe ni wadau wa starehe fiesta,dar live facebook ,bbm .whatsupp nkUpo sahihi kabisa mimi siku naamini kabla ya kutupia lawama Serikali na Walimu lazima tuangalie Wazazi na Wanafunzi wamefanya nini? sio siri utandawazi umetumaliza sana tena sana, Wazazi wamewaacha tu watoto wafanye wanavyotaka, kila siku watoto wanashinda kwenye mitandao, mwalimu anafundisha dent anasikiliza mziki kwenye simu.
Nachokiamini mimi hata serikali iwalipe walimu mshahara wa milioni, na hata walimu wafundishe namna gani kama Wanafunzi na wazazi wataendelea na life style ya kujiachia tusitegemee kabisa elimu ya nchi hii kupanda.
Miaka ya tisini na mwanzoni mwa miaka ya 2000 hakukuwa na walimu wengi kama ilivyo sasa lakini ufaulu ulikuwa mzuri tu, mimi nimesoma advance shule ambayo haikuwa na mwalimu hata mmoja lakini katika darasa letu hakuna aliyefeli kwa kuwa tulikuwa tunajituma wenyewe bila kutegemea mwalimu wala serikali
Mkuu Ndachuwa, kiukweli huyu kipanga wangu wa hesabu kupata C hata mimi nimesikitishwa sana!. Nawaombeni tuamini there was something wrong with NECTA!.Pasco hivi NECTA kazi yao ni kufundisha au kutaini wanafunzi? Ukiangalia vyombo vyote vya habari vinaiangalia NECTA kama wao ndio wenye sababu ya wanafunzi kufeli bila kuangalia nani mwenye wajibu wa kuwaandaa wanafunzi hao yaani Commissioner wa elimu. NECTA walaumiwe kama walitunga mtihani ambao hautokani na "syllabus" inayotumika.
Bi. Ndalichako, amepeleka nakala halisi za mitihani ili kuthibitisha baadhi ya wanafunzi, waliandika madudu, matusi na wengine wameandika "versi!". Kitendo cha kupeleka nakala halisi, badala ya kupeleka copy, ni kinyume cha kanuni, taratibu na sheria, kwa sababu mitihani halisi, ni miongoni mwa documents ziitwazo, "classified documents" ambazo zinakinga ya "confidentiality", linapotokea suala lolote linahusu kuonyeshwa kwa mitihani hiyo, Mkurugenzi wa NECTA, hana mamlaka ya kujibebea nakali halisi za mitihani hiyo, simply because mitahani hiyo iko in possession ya documents hizo!, alipaswa kutoa nakala, yaani copy na kupeleka TBC-1 na sio kupeleka nakala halisi!. Huku ni kujikanyaga kanyaga just to seek public sympathy ya justification ya matokeo ya mwaka huu kwa ku potray kuwa NECTA has no hand!, ni watahiniwa wa mwaka huu tuu ndio Vibonde!, na kuthibitisho hilo, ameleta mitihani halisi kuonyesha hivyi ndivyo walivyo!.
Pasco.
Barza la mitihani kuna tatizo hasa kwenye usahihishaji, yaani marking. mfano mwanafunzi asipofanya swali la compulsory section C yenye marks 60% kwenye mitihani ya lugha (kiswahili na Englis) section yote atapata zero. Huoni kama kuna haja ya kuangalia tatizo?
Pasco Kifungilo wao wamepata Division I mpaka III; IV na Zero hakuna wao mtihani wao haukutungwa na kusahihishwa na NECTA? Kama wewe ni mtafiti wakaguzi wa elimu huwa wakali zaidi kwa shule za binafsi kulizo zile za umma matokeo yake shule za binafsi zinatimiza masharti yote ikiwa ni pamoja na kuwa na walimu, matundu ya kutosha ya choo; walinzi nk. mazingira ambayo humjengea mwanafunzi utulivu wa masomo na hivyo kufauli zaidi ya wale wa shule za serikali.Ndachuwa
Mkuu Ndachuwa, kiukweli huyu kipanga wangu wa hesabu kupata C hata mimi nimesikitishwa sana!. Nawaombeni tuamini there was something wrong with NECTA!.
Pasco
Mkuu umeshasema kuwa swali ni Compulsory, sasa kama mwanafunzi hajalijibu, msahihishaji afanyeje?