Kama kawaida wataalamu wa siasa yaani political scientists matokeo yakitoka ya chaguzi hufanya tathmini.
Uchaguzi wa Chadema Lisu alijiandaa barabara .Kuwa hata angeshindwa wangegawana mbao na Mbowe yeye achukue kundi linalomuunga mkono atimkie nalo ACT wazalendo.Kitendo hicho kingeifanya ACT wazalendo kujitanua mno Tanzania bara na kuwa na matawi makubwa kila kona ya nchi ghafla bin vuu
Pili Lisu kama angeshindwa na kwenda ACT wazalendo angejipanua sana upande wa Zanzibar na kukubalika pande zote za muungano kwenye nia yake ya kugombea uraisi na angepata kura nyingi kotekote hivyo kuifanya Chadema kiwe chama kidogo mno kama vya akina TLP ,nk na ACT wazalendo kugeuka kuwa chama kikuu cha upinzani kote bara na visiwa
System ya Chadema ikauelewa mchezo unaotaka kuchezwa
Hivyo Chadema wenye chama wakaamua kumpiga chenga Tundu Lisu na kumtupia gunia la misumari la uenyekiti wa Chadema na kuua ndoto zake na ndoto za ACT wazalendo kwa mpigo.Kuwa kila mmoja apambane na hali yake