Matokeo uchaguzi Chadema ilikuwa kuikwamisha ACT Wazalendo kujijenga bara kupitia Lisu na kuzuia Lissu kujijenga Zanzibar kupitia ACT wazalendo

Lissu this Lissu that acheni fujo yamepita hayo
Hakuna cha chaliyopita yapite yeye mwenyewe Lisu hukomalia yaliyopita ikiwemo kumkomalia Marehemu Magufuli

Ya kwake pia lazima yakomaliwe hata kama yamepita
 
Zanzibar wapiga kura hafiki hata laki 4, ya nini Lisu ahangaike na kikundi kidogo hivyo badala ya kuhangaika na vitu vya msingi
 
Kama kawaida wataalamu wa siasa yaani political scientists matokeo yakitoka ya chaguzi hufanya tathmini.

Uchaguzi wa Chadema Lisu alijiandaa barabara .Kuwa hata angeshindwa wangegawana mbao na Mbowe yeye achukue kundi linalomuunga mkono atimkie nalo ACT wazalendo.Kitendo hicho kingeifanya ACT wazalendo kujitanua mno Tanzania bara na kuwa na matawi makubwa kila kona ya nchi ghafla bin vuu

Pili Lisu kama angeshindwa na kwenda ACT wazalendo angejipanua sana upande wa Zanzibar na kukubalika pande zote za muungano kwenye nia yake ya kugombea uraisi na angepata kura nyingi kotekote hivyo kuifanya Chadema kiwe chama kidogo mno kama vya akina TLP ,nk na ACT wazalendo kugeuka kuwa chama kikuu cha upinzani kote bara na visiwa

System ya Chadema ikauelewa mchezo unaotaka kuchezwa

Hivyo Chadema wenye chama wakaamua kumpiga chenga Tundu Lisu na kumtupia gunia la misumari la uenyekiti wa Chadema na kuua ndoto zake na ndoto za ACT wazalendo kwa mpigo.Kuwa kila mmoja apambane na hali yake
Chawa anapochambua siasa za cdm huku kwenye chama chao watu wanapitishwa kihuni.
 
Uwongooo.....!
 
Back
Top Bottom