The Palm Beach
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 1,967
- 4,267
UPDATES:
Kama ilivyotarajiwa na wengi, Adv. Boniface Mwabukusi akiwakilisha young lawyers maarufu kama GEN Z - CHADEMA ameshinda kwa kishindo kikuu na kuwa Rais wa TLS kwa miaka mitatu 2024 - 2026 kwa kuwapiga kipigo cha mbwa mwizi wazee wa mfumo corrupt yaani CCM ESTABLISHMENT
Juhudi kubwa ilifanyika kutaka kuharibu matokeo kwa mbinu mbalimbali lakini, haikuwa rahisi kwa kuwa karibu 95% ya wanachama wote wa TLS waliohudhuria mkutano huu, walikuwa ni GEN Z - CHADEMA..
Hongera Boniface Mwabukusi, hongera Rais mpya wa TLS.!
===================================================
Kwa mtu yeyote anayefuatilia uchaguzi wa TLS mwaka huu 2024 na kama ilivyo miaka yote ya chaguzi ndani ya taasisi hii atagundua na kuona kwa uwazi kabisa kuwa, ni picha na kivuli halisi cha mapambano ya kisiasa kati ya vyama vikubwa viwili CHADEMA na CCM.
CHADEMA inawakilishwa na young lawyers maarufu kama GEN Z hawa ni wengi sana kwa zaidi ya robo tatu ya Mawakili wote. Hawa ndio wanam - chant na kumbeba Wakili Vibrant and aggressive Boniface Mwabukusi
CCM inawakilishwa na mawakili wazee ambao akili na ufahamu wao ulishaharibiwa (polluted ) na CCM kwa miaka mingi.
Wanakula na kutetea mfumo corrupt na kandamizi na uliokwisha kuchoka kwa shibe ya kuvimbiwa na mapato ya dhuluma na damu za watu masikini wa taifa hili la Tanganyika.
GEN Z a.k.a CHADEMA - TLS watawalaza watu na viatu leo?