Pre GE2025 Matokeo uchaguzi TLS: Ni kivuli cha mchuano mkali kati ya CHADEMA vijana wa GEN Z vs CCM ya wazee wa Establishment

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sasa mtu kama Dr Lugelemeza Nshala akahongwe na box jeupe Kifutu
 
Tanzania itachelewa sana kupata maendeleo.

Kila kitu inawekwa siasa.
 
Mtoto wa Mama na kundi lake waangukia pua. Yani wangepepesa macho kidogo tu CCM ingeshinda. Idadai ilikuwa pungufu ya 3000 lakini bado walitaka kuchakachua.
CCM walitaka kuongeza kura za Zanzibar leo.
 
Hongera CDM!
 


Ukisema chadema ni GEN z unashusha sifa za GEN z, GEN z ni positive movement!
 
Kwenye mazingira yoyote yenye atleast a littler fairness ccm hafui Dafu.
ccm ni mshindani anayelindwa na mapolisi na wasimamizi wa chaguzi!
Lakini vinadumu basi?? Hao mapolisi, walimu na wakurugenzi ipo siku watachoka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…