Endelea kuota na kutuombea mabaya,eti upepo? Unajifanya mnakikosi kipana kumbe mmejaza wachezaji wa type moja yote maviungo hamna plan BView attachment 946146
Wanashida nyingi sana mkuu,hayo ni baadhi tu,na kifafa kimewajiaMkuu hizo dawa ni Ciprofloxacin, paracetamol na dawa ya fangasi, kwa hiyo Simba aweze kuwa na Uti au typhoid au?
nini maana ya "consistency "Mie ni Simba ila naona ubingwa unaenda kama sio Azam basi ni Yanga. Timu yangu haina consistency, kocha bado hayupo serious na kutafuta ubingwa hata sub zake zinadhihirisha hivyo.
Masoud alikuwa na consistency ndio maana alichukua ubingwa.
Mechi za ugenini za yanga vipi kwani ameshaanza kwenda mikoani?zahera ni moja wale waganga matapeli walio kuwa watuma msg kwa kujisia kwamba anatoka Kongo
ila ngoja benchi lianze kukosa nguvu atahama huu si msimu wa maembe
Utaukataa huu uzi muda sio mrefuMtamkataa huyu mkongo muda si mrefu
Ya jana ya ngapi?[emoji3][emoji3][emoji3]subiri mechi 5 zijazo mtakimbiana humu, mtatafuta mapango ya kujificha
Ulisema unatuhesabia match tano,ya jana ya ngapi?Leo wamebahatisha Tena ngekewa wanawafunga prison na kikosi kibovu
Hahahaha mtani umekimbilia eneo korofi mapema mno.Mkuu sijakimbia jukwaa, NIPO. Nitakapomaliza haya majukumu yanayoniweka pembeni, nitarejea kwa miguu yote miwili kama mwanzo, tofauti na sasa ambapo nipo mguu mmoja ndani, mwingine nje.
Umemuona tambwe jana?Mkuu sijakimbia jukwaa, NIPO. Nitakapomaliza haya majukumu yanayoniweka pembeni, nitarejea kwa miguu yote miwili kama mwanzo, tofauti na sasa ambapo nipo mguu mmoja ndani, mwingine nje.
Match ya Lipuli mlichezesha kikosi kipi Mkuu?Simba in vikosi viwili kwanza hakuna mchezaji wa Yanga kwa uwezo wake anaweza pata namba simba