Bingwa anakuaje, anayetoa droo na timu kama Lipuli uwanja wa nyumbani.
Ubingwa?[emoji44][emoji44]amka mkuu kumekucha
Hakuna timu ya ubingwa hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ubingwa?[emoji44][emoji44]amka mkuu kumekucha
Hakuna timu ya ubingwa hapo
Wanafukuza mwizi kimya kimyaWadau wengi wa soka wamekuwa kwakishangaa timu ya Yanga kupata matokeo mazuri ligi kuu huku bado haijafungwa mchezo wowote licha ya kukweli kwamba wanna kikiosi kibovu Sana
Kwenye mpira tunaita upepo mzuri huwa ni kipindi Cha mpito yaani Kila kitu unachofanya ni sahihi yaani hata msipofunga wapinzani watajifunga.
Naona mashabiki was Yanga wanampa sifa kibao kocha Mwinyi Zahera ila mtakuja kumkataa mbeleni huko hili BOOM likiisha
Kila mtu atashinda kwa uwezo wake sio upepo tena
View attachment 946088
Yanga waliisha shinda kwa tofauti ya magoli tu, pointi zilikuwa sawa na Simba ni mwaka juzi tu.Wewe ni kama mimi, Yanga wanaonekana dhahiri wanausaka ubingwa. Simba wanafikiri ligi haijaanza bado. Subiri waachwe point kama saba hivi uone watakavyoanza kupaniki
Mkuu ume overreact ndo Kwanza mechi 13 Kati ya 38 Sasa gep la points 5 unaogopa nin? Ligi bado mbichi Sana na ni makosa kuanza kujihusisha Yanga na ubingwaYanga waliisha shinda kwa tofauti ya magoli tu, pointi zilikuwa sawa na Simba ni mwaka juzi tu.
Simba wanacheza kwa matumaini tu hawana malengo na njaa ya ushindi.
Yanga wanatuzidi pointi 5 Azam pointi 4, unawakamataje hapo ?
Azam pale mbele pana washambuliaji mahiri sana na Chirwa kaongezwa, unafikira atafungwa na timu gani kirahisi rahisi ?
Simba wana matatizo sana kwenye safu ya ushambuliaji, Bocco ni kama kachoka.
Kagere na Okwi mechi nyingine wanasumbuliwa na Umri,
Vijana akina Salamba ni wavivu wa mazoezi.
Kocha ndio huyo hana msaidizi wa kumshauri kufanya Sub haraka, pale mchezaji anapokuwa nje ya mchezo.
Hamna kitu hapo, ubingwa tuusahau tu mwaka huu.
Kaka sio, ndondondo sio chururu,Mkuu ume overreact ndo Kwanza mechi 13 Kati ya 38 Sasa gep la points 5 unaogopa nin? Ligi bado mbichi Sana na ni makosa kuanza kujihusisha Yanga na ubingwa
Sasa kama ligi bado mbichi kinachokuuma ni nini? Pombe anywe mwingine kulewa ulewe weweLigi bado Sana mkuu ndo kwanza round ya 13 Kati ya 38 hata nusu bado
Wadau wengi wa soka wamekuwa kwakishangaa timu ya Yanga kupata matokeo mazuri ligi kuu huku bado haijafungwa mchezo wowote licha ya kukweli kwamba wanna kikiosi kibovu Sana
Kwenye mpira tunaita upepo mzuri huwa ni kipindi Cha mpito yaani Kila kitu unachofanya ni sahihi yaani hata msipofunga wapinzani watajifunga.
Naona mashabiki was Yanga wanampa sifa kibao kocha Mwinyi Zahera ila mtakuja kumkataa mbeleni huko hili BOOM likiisha
Kila mtu atashinda kwa uwezo wake sio upepo tena
View attachment 946088
hahahaha,Yanga wana Fighting Spirit ya hali ya juu sana.
Wakiendelea nayo ubingwa ni lazima.
Siipendi Yanga lakini naipongeza kwa kiwango kizuri walichokionesha hadi sasa.
Unazungumzia hoja sahihi, lakini kwa vigezo visivyo sahihi. Timu inayocheza mechi 12 na kutopoteza hata moja, ikitoka sare mbili tu kati ya hizo, nyingi ya hizo ikitoka bila ya kuruhusu bao, haiwezekani kuwa ni kwa bahati tu peke yake, au upepo kama unavyosema. Kinachokufanya uhisi hivyo, inavyoelekea, ni imani yako kwa usajili wa timu ya Simba (ingawa hukuitaja, lakini lugha uliyotumia haiashirii utani wa Yanga na Azam) ukizingatia majina makubwa ya wachezaji wake. Hilo limekufanya usiweze kuhukumu uwezo wa timu kwa mujibu wa matokeo uwanjani yanayofafanuliwa na takwimu zake na badala yake ukahukumu kwa mujibu wa matarajio yako.Wadau wengi wa soka wamekuwa kwakishangaa timu ya Yanga kupata matokeo mazuri ligi kuu huku bado haijafungwa mchezo wowote licha ya kukweli kwamba wanna kikiosi kibovu Sana
Kwenye mpira tunaita upepo mzuri huwa ni kipindi Cha mpito yaani Kila kitu unachofanya ni sahihi yaani hata msipofunga wapinzani watajifunga.
Naona mashabiki was Yanga wanampa sifa kibao kocha Mwinyi Zahera ila mtakuja kumkataa mbeleni huko hili BOOM likiisha
Kila mtu atashinda kwa uwezo wake sio upepo tena
View attachment 946088
Anaeshinda ndo anachukua ubingwa.hahahaha,
acheni kuunajisi mpira yaani ombaomba achukue ubingwa? Azam na simba wakiwa wapi?
Unajidanganya kusema upepo wakati Yanga kwake ni mkakati. We endelea kuishi kwa matumainiWadau wengi wa soka wamekuwa kwakishangaa timu ya Yanga kupata matokeo mazuri ligi kuu huku bado haijafungwa mchezo wowote licha ya kukweli kwamba wanna kikiosi kibovu Sana
Kwenye mpira tunaita upepo mzuri huwa ni kipindi Cha mpito yaani Kila kitu unachofanya ni sahihi yaani hata msipofunga wapinzani watajifunga.
Naona mashabiki was Yanga wanampa sifa kibao kocha Mwinyi Zahera ila mtakuja kumkataa mbeleni huko hili BOOM likiisha
Kila mtu atashinda kwa uwezo wake sio upepo tena
View attachment 946088
Leo Tena wamebahatisha 3 na jkt Tanzania magoli ya kujigongagonga tuK2ani Simba nao si wamo kwenye huu upepo unaopita ingawa wao umewashinda tayari? Ina maana baada ya upepo huu kupita, wao Simba au timu zingine zitatakiwa kurudia upya mechi zao?
Utakufa kwa presha, kila siku unajidanganya kabahatisha kesho hashindiLeo Tena wamebahatisha 3 na jkt Tanzania magoli ya kujigongagonga tu
Simba inachangamoto ya umri....hawawezi kucheza back to back...ndio maana kuna mechi wanaomba zifutwe wazee warelax kidogoNi aibu timing mbovu Kama Yanga kuongoza ligi, hi ni kielelezo kwamba ligi ya Tanzania Haina kiwango
Mkuu Simba unahiusisha vipi na huu uzi , unamaana wewe huoni ubovu was Yanga? Timu ata kupiga pasi 6 zote zifike haiwezi.Utakufa kwa presha, kila siku unajidanganya kabahatisha kesho hashindi
Ikifika kesho, anashinda.... Unajidanganya tena kwamba kesho kutwa hashindi
Siku zinaenda, mechi zinapungua, points kwa Yanga zinaongezeka
Kwa taarifa yako Yanga yupo mbele ya mikia kwa points 8
Kuja kukata upepo si hata Kagere atakuwa amestaafu ko hakuna mabadiriko mpaka mwisho wa ligiMkuu Simba unahiusisha vipi na huu uzi , unamaana wewe huoni ubovu was Yanga? Timu ata kupiga pasi 6 zote zifike haiwezi.
Narudia Tena huu upepo utakata muda si mrefu na utanielewa namaanisha nini