Matokeo wanayopata Yanga kwa sasa ni upepo tu

Matokeo wanayopata Yanga kwa sasa ni upepo tu

Very soon mta experience the difference
Ila msije tu mkashikiana mapanga pale jangwani
Mkuu jaribu kuheshimu professional za watu. Hata Roma haikujengwa siku moja. Matokeo unayoyaona sasa ni kazi nzuri ya Camarade Mwinyi Zahera. Ameondoa U father kwenye timu kiasi kwamba kila mchezaji anajiona anaweza. Kabla ya ya ujio wa Zahera uliwaona watoto kama Paul Godfrey, Gwamaka Edward, Shaibu (Ninja) na Kabwili (kutaja wachache) wakiwa na viwango walivyonavyo kipindi hiki? Soon Timu fulani yenye kuua vipaji vya wachezaji itaanza kuwataka. Na wakienda huko hawatacheza kama walivyo Yanga sasa.
 
Acha umavi wa matakoni kwako wewe na uroho uliotukuka, kama upepo na nyie so muuite huko kwenu ili mshinde...
Eti timu inakikosi kibaya marudufu, basi hichohicho kikosi kibaya ndo kinachoshinda kila mechi na hutoweza kuamini pindi tutakapobeba kombe.. Mpambane tu na hali yenu..
Sie ni mdogomdogo wala hatutumii nguvuu..
PESA HATUNA,
TUNANJAA,
OMBAOMBA,
KAMBINI TUNAKULAGA MAKANDE,
Ila tunashinda...
 
Wadau wengi wa soka wamekuwa kwakishangaa timu ya Yanga kupata matokeo mazuri ligi kuu huku bado haijafungwa mchezo wowote licha ya kukweli kwamba wanna kikiosi kibovu Sana
Kwenye mpira tunaita upepo mzuri huwa ni kipindi Cha mpito yaani Kila kitu unachofanya ni sahihi yaani hata msipofunga wapinzani watajifunga.
Naona mashabiki was Yanga wanampa sifa kibao kocha Mwinyi Zahera ila mtakuja kumkataa mbeleni huko hili BOOM likiisha
Kila mtu atashinda kwa uwezo wake sio upepo tena
View attachment 946088
Sisi tunasonga mbele tu.
 
Acha umavi wa matakoni kwako wewe na uroho uliotukuka, kama upepo na nyie so muuite huko kwenu ili mshinde...
Eti timu inakikosi kibaya marudufu, basi hichohicho kikosi kibaya ndo kinachoshinda kila mechi na hutoweza kuamini pindi tutakapobeba kombe.. Mpambane tu na hali yenu..
Sie ni mdogomdogo wala hatutumii nguvuu..
PESA HATUNA,
TUNANJAA,
OMBAOMBA,
KAMBINI TUNAKULAGA MAKANDE,
Ila tunashinda...
Soon utaelewa ninachosema
 
Mpira huwa haubahatishi ili ushinde lazima ucheze mpira kama ingekuwa ni kubahatisha timu nyingi zingebahatisha ndiyo maana mpira unachezwa hazarani unashuhudiwa na watu zaidi ya 50,000 simba chezeni mpira na mjue jinsi yakutupia ktk nyavu na siyo kupiga usawa wa goli linakuwa goli kuna ufundi wa kufunga
 
Wadau wengi wa soka wamekuwa kwakishangaa timu ya Yanga kupata matokeo mazuri ligi kuu huku bado haijafungwa mchezo wowote licha ya kukweli kwamba wanna kikiosi kibovu Sana
Kwenye mpira tunaita upepo mzuri huwa ni kipindi Cha mpito yaani Kila kitu unachofanya ni sahihi yaani hata msipofunga wapinzani watajifunga.
Naona mashabiki was Yanga wanampa sifa kibao kocha Mwinyi Zahera ila mtakuja kumkataa mbeleni huko hili
Kila mtu atashinda kwa uwezo wake sioH upepo tenaHuu upepo unatokea kwa Yanga tu na si tim nyingine ligi kuu?
View attachment 946088
 
Aya
IMG-20161106-WA0008.jpeg
 
Nimeipenda Yanga jinsi inavyo cheza kwa mipango mulua ya kupata ushindi.
Hakika Yanga wanaelekea kuchukua kombe la TPL.
Kocha Zahera ni kocha mwenye mbinu nyingi za ushindi.
Simba bakini na ushindi wa matumaini.
 
Back
Top Bottom