Matokeo wanayopata Yanga kwa sasa ni upepo tu

Matokeo wanayopata Yanga kwa sasa ni upepo tu

Wadau wengi wa soka wamekuwa kwakishangaa timu ya Yanga kupata matokeo mazuri ligi kuu huku bado haijafungwa mchezo wowote licha ya kukweli kwamba wanna kikiosi kibovu Sana
Kwenye mpira tunaita upepo mzuri huwa ni kipindi Cha mpito yaani Kila kitu unachofanya ni sahihi yaani hata msipofunga wapinzani watajifunga.
Naona mashabiki was Yanga wanampa sifa kibao kocha Mwinyi Zahera ila mtakuja kumkataa mbeleni huko hili BOOM likiisha
Kila mtu atashinda kwa uwezo wake sio upepo tena
View attachment 946088
Jipe moyo tu wenzio wanakusanya point mdogo mdogo hamadi ubingwa huo
 
Nimeipenda Yanga jinsi inavyo cheza kwa mipango mulua ya kupata ushindi.
Hakika Yanga wanaelekea kuchukua kombe la TPL.
Kocha Zahera ni kocha mwenye mbinu nyingi za ushindi.
Simba bakini na ushindi wa matumaini.
Ubingwa?[emoji44][emoji44]amka mkuu kumekucha
Hakuna timu ya ubingwa hapo
 
hakuna kitu kinaitwa upepo mkuu, ni mipango nidhamu na malengo huo upepo unachagua timu.

ko sasa ivi yanga(yenye upepo mzuri) akicheza na monaco(yenye upepo mbaya) yanga anashinda
Umechagua level tofauti mkuu huweza fananisha.
Hapa nazungumzia ligi ya Tanzania.
Hata Chelsea ilishawahi maliza 5 ligi kuu lakini ikatwaa Uefa champions league
 
Umechagua level tofauti mkuu huweza fananisha.
Hapa nazungumzia ligi ya Tanzania.
Hata Chelsea ilishawahi maliza 5 ligi kuu lakini ikatwaa Uefa champions league
mkuu yanga iko vzr wala si upepo, sema tu kindoki ndo anazingua
 
mkuu yanga iko vzr wala si upepo, sema tu kindoki ndo anazingua
[emoji1787][emoji1787]kindoki uwezo wake no mdogo mno mbaya zaidi nafasi anayocheza haitakiwi kufanya makosa Bora straika hata akose magoli kumi lawama zake sio Kama kipa akifanya mistake moja
 
Kipindi yanga wanacheza mechi za uwanja wa nyumbani anashida mlisema subiri aanze mechi za away na sasa ameanza kwa kutembeza kichapo ķwa timu za mikoani mnaanza kusema ni upepo kwani nyie huo upepo timu yenu haiutaki?. Hakika nyie ni mbumbumbu fc
 
Wewe ni kama mimi, Yanga wanaonekana dhahiri wanausaka ubingwa. Simba wanafikiri ligi haijaanza bado. Subiri waachwe point kama saba hivi uone watakavyoanza kupaniki
Yanga wana Fighting Spirit ya hali ya juu sana.
Wakiendelea nayo ubingwa ni lazima.
Siipendi Yanga lakini naipongeza kwa kiwango kizuri walichokionesha hadi sasa.
 
Mie ni Simba ila naona ubingwa unaenda kama sio Azam basi ni Yanga. Timu yangu haina consistency, kocha bado hayupo serious na kutafuta ubingwa hata sub zake zinadhihirisha hivyo.

Masoud alikuwa na consistency ndio maana alichukua ubingwa.

Nasikia hii ya Simba ni strategy ya kujiandaa na michuano ya kimataifa
 
Yanga sasa wameshapata imani kuwa ubingwa wanaweza kuuchukua na hiyo spirit itawapa ubingwa. Mechi 12 sio chacbe. Simba sisi bado tunadhani tupo kwenye mechi za majaribio

Back
Top Bottom