Matokeo wanayopata Yanga kwa sasa ni upepo tu

Ulisema unatuhesabia match tano,ya jana ya ngapi?
Achana na hii hesabu 5 zilizobaki kumalizia round ya kwanza
Yanga vs Biashara utd
Ruvu shooting vs Yanga
Mbeya city vs Yanga
Africa Lyon vs Yanga
Azam fc vs Yanga
Hapo katika points 15 mkijitaidi Sana mnapata 7
 
Mkuu kwani nimeongea uongo? We subiri upepo ukate ukikimbia ntakutafuta majukwaa yote na tochi
Yanga wanapata wasichostahili kwa sasa
Mie ninachoona hapo umeingiza mapenzi kwenye uzi wako. Ungekuwa huna timu hapo sawa ila kwa kuwa we ni Mikia sina budi kusema hivyo.
 
Mie ninachoona hapo umeingiza mapenzi kwenye uzi wako. Ungekuwa huna timu hapo sawa ila kwa kuwa we ni Mikia sina budi kusema hivyo.
Kwani Mimi nimesema ni Simba? Nimetoa uchambuzi tu wakitaalamu najua hata moyoni kwako unajua Yanga ni timi dhaifu sema inaenda kimungu mungu
 
Achana na hii hesabu 5 zilizobaki kumalizia round ya kwanza
Yanga vs Biashara utd
Ruvu shooting vs Yanga
Mbeya city vs Yanga
Africa Lyon vs Yanga
Azam fc vs Yanga
Hapo katika points 15 mkijitaidi Sana mnapata 7
Hahahahahaha umerogwa wewe
 
Alichopanga mwalimu mkuu ebu niambie no mchezaji gani wa Yanga anaweza pata namba simba
Shida sio kupata namba simba mechi na lipuli mliweka kikosi gani ...kujisifu kwiingiii uwanjani zero
 
Shida sio kupata namba simba mechi na lipuli mliweka kikosi gani ...kujisifu kwiingiii uwanjani zero
Mechi ya lipuli Simba walikosa bahati tu Bocco alikosa bao 3 za wazi kabisa ni matokeo ya kawaida mchezoni
 
Simba in vikosi viwili kwanza hakuna mchezaji wa Yanga kwa uwezo wake anaweza pata namba simba
yanga ana kikosi kimoja tena cha kuungaunga.
kwa taarifa yako yanga ameizidi simba yenye vikosi viwili point 11,we kaa hivyohivyo.
 
yanga ana kikosi kimoja tena cha kuungaunga.
kwa taarifa yako yanga ameizidi simba yenye vikosi viwili point 11,we kaa hivyohivyo.
Umehesabu viporo au points peke yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…