brave one
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 4,879
- 7,386
- Thread starter
- #121
Achana na hii hesabu 5 zilizobaki kumalizia round ya kwanzaUlisema unatuhesabia match tano,ya jana ya ngapi?
Yanga vs Biashara utd
Ruvu shooting vs Yanga
Mbeya city vs Yanga
Africa Lyon vs Yanga
Azam fc vs Yanga
Hapo katika points 15 mkijitaidi Sana mnapata 7