Matokeo wanayopata Yanga kwa sasa ni upepo tu

Kwani Mimi nimesema ni Simba? Nimetoa uchambuzi tu wakitaalamu najua hata moyoni kwako unajua Yanga ni timi dhaifu sema inaenda kimungu mungu
Ndio timu yako ya moyoni hiyo kutokana na kauli zako kwenye ule uzi wa game ya Yanga vs Prison.
 
Ndio timu yako ya moyoni hiyo kutokana na kauli zako kwenye ule uzi wa game ya Yanga vs Prison.
Kusema Simba wanatimu nzuri kuliko Yanga ndo nimekuwa simba? Hisia zako tu mkuu
 
Achana na hii hesabu 5 zilizobaki kumalizia round ya kwanza
Yanga vs Biashara utd
Ruvu shooting vs Yanga
Mbeya city vs Yanga
Africa Lyon vs Yanga
Azam fc vs Yanga
Hapo katika points 15 mkijitaidi Sana mnapata 7
We jamaa dishi limeyumba ... Eti 7... Kwa hiyo zile mechi zako tano umefuta ..tunaanza na biashara si ndio.... Utakuwa una matatizo ya kumbukumbu tutaendelea kukukumbusha sawa
 
We jamaa dishi limeyumba ... Eti 7... Kwa hiyo zile mechi zako tano umefuta ..tunaanza na biashara si ndio.... Utakuwa una matatizo ya kumbukumbu tutaendelea kukukumbusha sawa
Mbona maneno mengi ngoma inaanzia hapo na biashara mpaka Azam tuone mtakusanya ngapi? Nimesema zikifika 7 mshukuru mungu
 
Yanga wamebebwa sana leo,penalty ya wazi kabisa na upendeo wa wazi
 
Achana na hii hesabu 5 zilizobaki kumalizia round ya kwanza
Yanga vs Biashara utd
Ruvu shooting vs Yanga
Mbeya city vs Yanga
Africa Lyon vs Yanga
Azam fc vs Yanga
Hapo katika points 15 mkijitaidi Sana mnapata 7

Hiyo ya kwanza uitoe ...
Tayari point tatu kwa mahesabu yako bado nne.
 
Naona Yanga wanaendelea kubahatisha

Mwanzisha thread atakimbia tu, tena bila kuaga....shubamit
Mechi 15 Kati ya 38 nikimbie ligi bado Sana mkuu huu upepo utakata Leo chupuchupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…