Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Ndio timu yako ya moyoni hiyo kutokana na kauli zako kwenye ule uzi wa game ya Yanga vs Prison.Kwani Mimi nimesema ni Simba? Nimetoa uchambuzi tu wakitaalamu najua hata moyoni kwako unajua Yanga ni timi dhaifu sema inaenda kimungu mungu