Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kule kunasifika zaidi kwa kuwa na mademu wakali na umalaya zaidi siyo mpira. Kwa hyo mlitakiwa muwapige hata 12 halafu mrudi na vibinti hata viwiliviwili. Kule mnakotarajia kwenda ndio kipimo kizuri,mana historia inaonyesha huwa mnapigwa 4 nne mnapokuwa kule. Jitahidini this time zipungueWe hujaona timi ya mswati alikula 4 ugenini na 4 nyumbani?
Nitulie mara ngapi. Angalia tu nisijekuwa nakutafuta mie kila siku. Sababu toka huu mtazamo uwe nao masiku yanazidi kuyoyoma tu.[emoji3][emoji3][emoji3]Niko vizuri tulia hivo hivo ligi bado mbichi zamu yako kukutafuta inakaribia
Kama jana ulikuwa wa bahati ile game na prison utaiitaje sasa?Sijahamia kwenye bahati Jana ushindi was tabu Sana ni dalili njema za upepo kukaribia kukata
Akikujibu bila kupinda pinda na mie niite.Bado upepo tu muzee?
Kabisaaaaa. 😂😂😂😂 ila umejua kunichekesha. Uwwiiiii.Yanga tusipowaangalia vizuri watafunga mpaka shule...
Hili bandiko limetoka kwa mdau mwenye mapenzi mema na soka la Bongo.Mimi siyo shabiki wa simba wala yanga lakini ninauona ukweli unaoendelea kati ya simba na yanga;
KWA YANGA
Kiukweli timu inafanya kazi ktk mazingira magumu sana ya kuyumba kiuchumi tangia mwenyekiti wao tajiri aingie ktk misuko suko ya kumalizwa kiuchumi.
Licha ya hali hiyo, wachezaji na kocha wamekuwa wakijituma kuhakikisha wanafanya vizuri hata kama wakishinda njaa,,, basi wananitahidi wanapata ushindi na kwa huo uzalendo nawapongeza. Ukiangalia mechi ya jana yanga walivyokuwa wakicheza wanaanguka anguka kama mateso waliyopata kwenye ile ligi ya sport pesa basi utaamini kuwa wanafanya kazi ktk hali ngumu sana, pengne mshahara mdogo, usiopatkana kwa wakati, chakula dhaifu kisicho patikana kwa wakati nk. Ukiangalia Jana makambo, ngasa, veissa salum na wengne vgingi wa timu kuwaangusha tu ilikuwa kugusa, so itoshe tu kusema inatosha na kazi tuiachie management ili kuboresha hali ya kiuchumi na pia washukuliwe TFF kwa kuwapa timu nyingi mchezee nyumbani vinginevyo nafasi ya alliance ingekuwa ya jangwani.
KWA SIMBA
Nianze kusema tu kwamba mwenzako akinyolewa zako tia tia maji.... Naendelea...
Kwanza niwaombe tu mzidi kuomba mungu MO D awe salama na asisumbuliwe ktk mambo yake kwakuwa akikwama tu basi mjue mtakuwa mmeanguka na kifo chenu kitakuwa cha kishindo.
Ikumbukwe mmefanya usajili wa wachezaji wageni wasio na uzalendo kwa timu kuanzia wawa, kagere, salamba, chama, salamba, na hao mnaotamba nao.. Mkiyumba tu mjue hao wote watayumbia pengine na si ajabu wakatimkia chamazi au jangwani, kama watakuwa wameshakuwa sawa kiuchumi.. Maana mnaishi maisha ya visasi kama vile ligi yote ni simba na yanga tu mnasahau kuwa ligi ni ya vilabu 20 na kila kilabu ina haki ya kuchukua ubingwa.
Na niwashauri tu mjipe moyo kwa sasa licha ya utajiri mlionao lakini mpunguze kuwaza kuchukua ushindi msimu huu kwakuwa mkizidi kuwaza ushindi msimu huu mjue mtazidi kuchuma dhambi za bure kufanya mfanyayo kuhakikisha eti yanga itoke sare , azam itoke sare na nyie mshinde tu.
Mwisho nimalize kwa kusema kuwa "Hapa duniani ushindi ni pesa na pesa ndo ushindi "
Mungu bariki Mpira wa Tanzania ila tumechoka usimba na uyanga maana unaua mpira wa timu ya taifa.
Usipate tabu shemela nitakujuza.Akikujibu bila kupinda pinda na mie niite.
Sawa shemela. 😂😂😂Usipate tabu shemela nitakujuza.
Kwani Ngasa alicheza jana???Mimi siyo shabiki wa simba wala yanga lakini ninauona ukweli unaoendelea kati ya simba na yanga;
KWA YANGA
Kiukweli timu inafanya kazi ktk mazingira magumu sana ya kuyumba kiuchumi tangia mwenyekiti wao tajiri aingie ktk misuko suko ya kumalizwa kiuchumi.
Licha ya hali hiyo, wachezaji na kocha wamekuwa wakijituma kuhakikisha wanafanya vizuri hata kama wakishinda njaa,,, basi wananitahidi wanapata ushindi na kwa huo uzalendo nawapongeza. Ukiangalia mechi ya jana yanga walivyokuwa wakicheza wanaanguka anguka kama mateso waliyopata kwenye ile ligi ya sport pesa basi utaamini kuwa wanafanya kazi ktk hali ngumu sana, pengne mshahara mdogo, usiopatkana kwa wakati, chakula dhaifu kisicho patikana kwa wakati nk. Ukiangalia Jana makambo, ngasa, veissa salum na wengne vgingi wa timu kuwaangusha tu ilikuwa kugusa, so itoshe tu kusema inatosha na kazi tuiachie management ili kuboresha hali ya kiuchumi na pia washukuliwe TFF kwa kuwapa timu nyingi mchezee nyumbani vinginevyo nafasi ya alliance ingekuwa ya jangwani.
KWA SIMBA
Nianze kusema tu kwamba mwenzako akinyolewa zako tia tia maji.... Naendelea...
Kwanza niwaombe tu mzidi kuomba mungu MO D awe salama na asisumbuliwe ktk mambo yake kwakuwa akikwama tu basi mjue mtakuwa mmeanguka na kifo chenu kitakuwa cha kishindo.
Ikumbukwe mmefanya usajili wa wachezaji wageni wasio na uzalendo kwa timu kuanzia wawa, kagere, salamba, chama, salamba, na hao mnaotamba nao.. Mkiyumba tu mjue hao wote watayumbia pengine na si ajabu wakatimkia chamazi au jangwani, kama watakuwa wameshakuwa sawa kiuchumi.. Maana mnaishi maisha ya visasi kama vile ligi yote ni simba na yanga tu mnasahau kuwa ligi ni ya vilabu 20 na kila kilabu ina haki ya kuchukua ubingwa.
Na niwashauri tu mjipe moyo kwa sasa licha ya utajiri mlionao lakini mpunguze kuwaza kuchukua ushindi msimu huu kwakuwa mkizidi kuwaza ushindi msimu huu mjue mtazidi kuchuma dhambi za bure kufanya mfanyayo kuhakikisha eti yanga itoke sare , azam itoke sare na nyie mshinde tu.
Mwisho nimalize kwa kusema kuwa "Hapa duniani ushindi ni pesa na pesa ndo ushindi "
Mungu bariki Mpira wa Tanzania ila tumechoka usimba na uyanga maana unaua mpira wa timu ya taifa.
Hakucheza anatumikia adhabu ya kumpa mtu kichwa . (Typing error am sorry) nlikuwa emotional sana.Kwani Ngasa alicheza jana???
SaanaHili bandiko limetoka kwa mdau mwenye mapenzi mema na soka la Bongo.
Kwa hiyo Jana Ngasa alikuwepo kwenye Yanga iliyoonyeshwa kwenye TV uliyokuwa unaangalia pekee!?Mimi siyo shabiki wa simba wala yanga lakini ninauona ukweli unaoendelea kati ya simba na yanga;
KWA YANGA
Kiukweli timu inafanya kazi ktk mazingira magumu sana ya kuyumba kiuchumi tangia mwenyekiti wao tajiri aingie ktk misuko suko ya kumalizwa kiuchumi.
Licha ya hali hiyo, wachezaji na kocha wamekuwa wakijituma kuhakikisha wanafanya vizuri hata kama wakishinda njaa,,, basi wananitahidi wanapata ushindi na kwa huo uzalendo nawapongeza. Ukiangalia mechi ya jana yanga walivyokuwa wakicheza wanaanguka anguka kama mateso waliyopata kwenye ile ligi ya sport pesa basi utaamini kuwa wanafanya kazi ktk hali ngumu sana, pengne mshahara mdogo, usiopatkana kwa wakati, chakula dhaifu kisicho patikana kwa wakati nk. Ukiangalia Jana makambo, ngasa, veissa salum na wengne vgingi wa timu kuwaangusha tu ilikuwa kugusa, so itoshe tu kusema inatosha na kazi tuiachie management ili kuboresha hali ya kiuchumi na pia washukuliwe TFF kwa kuwapa timu nyingi mchezee nyumbani vinginevyo nafasi ya alliance ingekuwa ya jangwani.
KWA SIMBA
Nianze kusema tu kwamba mwenzako akinyolewa zako tia tia maji.... Naendelea...
Kwanza niwaombe tu mzidi kuomba mungu MO D awe salama na asisumbuliwe ktk mambo yake kwakuwa akikwama tu basi mjue mtakuwa mmeanguka na kifo chenu kitakuwa cha kishindo.
Ikumbukwe mmefanya usajili wa wachezaji wageni wasio na uzalendo kwa timu kuanzia wawa, kagere, salamba, chama, salamba, na hao mnaotamba nao.. Mkiyumba tu mjue hao wote watayumbia pengine na si ajabu wakatimkia chamazi au jangwani, kama watakuwa wameshakuwa sawa kiuchumi.. Maana mnaishi maisha ya visasi kama vile ligi yote ni simba na yanga tu mnasahau kuwa ligi ni ya vilabu 20 na kila kilabu ina haki ya kuchukua ubingwa.
Na niwashauri tu mjipe moyo kwa sasa licha ya utajiri mlionao lakini mpunguze kuwaza kuchukua ushindi msimu huu kwakuwa mkizidi kuwaza ushindi msimu huu mjue mtazidi kuchuma dhambi za bure kufanya mfanyayo kuhakikisha eti yanga itoke sare , azam itoke sare na nyie mshinde tu.
Mwisho nimalize kwa kusema kuwa "Hapa duniani ushindi ni pesa na pesa ndo ushindi "
Mungu bariki Mpira wa Tanzania ila tumechoka usimba na uyanga maana unaua mpira wa timu ya taifa.
Sorry!! Nimeandika nkifikiria kichwa alichomdunga mtu juz badala ya jina jingne nkawa nmemuandika.Kwa hiyo Jana Ngasa alikuwepo kwenye Yanga iliyoonyeshwa kwenye TV uliyokuwa unaangalia pekee!?
Poa ndugu yanatokea hayoSorry!! Nimeandika nkifikiria kichwa alichomdunga mtu juz badala ya jina jingne nkawa nmemuandika.
Typing error.
Sikuangalia mkuu,Uliangalia mpira mkuu?