A
Anonymous
Guest
Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (The Tanzania Public Service College - TPSC) nacho matokeo ya Intake ya Mwaka 2016 mpaka leo hayapo NACTVET, ni mpaka uhangaike kwenda chuo mara kwa mara bila mafanikio.
Ukijisajil ikifika kwenye ku-attach matokeo ya 2015/2016 inakwambia wasiliana na chuo, ukienda chuo nao wanasema suala lishafikishwa NACTVET, in short ni mwendo wa danadana tu kila upande.