Matokeo ya ACSEE 2008

Matokeo ya ACSEE 2008

Kwa waCBA nchi nzima. Mi ndio nilikuwa TO mwaka 2008 nikitokea Galanos.

Mwaka 2007 alikuwa rafiki yangu na cube mate wangu namba 18 pale Bweni la Chai Galanos Donasia Chebeha Mahindi.
Ndo hii mkuu
images-5.jpeg
 
Hoja ni kwann yamefichwa!?
Niwakumbushe ndali alitoka lini nekita na je vyet viliibiwa nekita mwaka gani!? Unganisha doti vigogo na watoto wao wameingia lini psevisi......
 
2013 pia matokeo yalikuwa mabaya mno pia..huu ulikuwa mwaka mbaya mno..matokeo yametoka tupo jeshini, watu ilikuwa ni kilio tuu.
Nina rafiki yangu alikua mafinga science waliombwa sana wabaki jamaa akachomoa alisoma PGM kilichofuata ni division 0 😱 😀😀😀 saivi yupo anachimba almasi
 
Back
Top Bottom