Elections 2010 [MATOKEO YA AWALI]: CHADEMA Mbulu mambo mazuri

Sir R

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2009
Posts
2,175
Reaction score
300
Kwa matokeo ambayo tayari yaliyokwishatolewa Chadema inaongoza kwa mbali hasa nafasi ya urais na ubunge; Jk afikishi hata nusu ya kura ya Dr Slaa. Marmo hali yake ni mbaya. Chadema inaweza kupata viti vya madiwani kati ya 15 hadi 20,

Kesho nitajitahidi kuleta takwimu.
 
Tuletee takwimu lakini yote unayosema ni mema.
 
Kama nipo ndotoni!! Siamini TZ inapata uhuru!!
 
Kama nipo ndotoni!! Siamini TZ inapata uhuru!!
Its too early to celebrate because vijijini bado majibu hayajaanza kuja na huko ndiko kwenye umaskini na mtaji wa ccm ni maskini

i pray JK to lose teh election
 
KAMA KAWAIDA obbelin nayofuraha! JAMANI WENZANGU WA MBULU LETENI HABARI. Nd Marmo tumemchoka. Na mie pia sasa najiandaa kupata mafanikio ya UKOMBOZI WA TAIFA LETU.
 
Its too early to celebrate because vijijini bado majibu hayajaanza kuja na huko ndiko kwenye umaskini na mtaji wa ccm ni maskini

i pray JK to lose teh election

ACID, in fact nakubaliana na wewe,,.. tatizo langu na mimi ni vijijini,,.... mostly ya matokeo yaliyotoka ni ya mjini....... ila nazidi kuomba mambo yaende vizuri
 
Duh asante sana mkuu...........................................................Asante Mungu.
 
ACID, in fact nakubaliana na wewe,,.. tatizo langu na mimi ni vijijini,,.... mostly ya matokeo yaliyotoka ni ya mjini....... ila nazidi kuomba mambo yaende vizuri
Msiogope jamani,hii kazi Mungu alishaikamilisha toka asubuhi!CCM chali.
 
kama ni kweli mungu yu pamoja nasi, marmo naye chali?
 
Speak numerically, tunafuarahia kweeli taarifa hizi ila furaha itaongezeka kama ukiweka takwimu hapa.
 
MBULU mpaka sasa matokeo bado au Marmo anataka kuchakachua.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…