Elections 2010 Matokeo ya awali jimbo la Kilombero na matukio ya ajabu

Status
Not open for further replies.

josiah2008

Member
Joined
May 22, 2010
Posts
51
Reaction score
23
Regia Mtema mgombea kupia CHADEMA anaongoza kwa mbali sana dhidi ya mgombea wa CCM Abdul Mteketa.

Katika vituo 18 Regia anaongoza vituo 14.

Matokeo zaidi baadaye.
 
kumbe redet na synovate waligeuza kura zetu wakawapa mafisadi...ona wanavyo aibika sasa...walikazana kujilisha upepo sasa wanatua aibu...
CHADEMA CHADEMA , MY CHADEMA.....MAFISADI ANZENI KUKIMBIA NCHI
 
Safiiiiiiii sanaaaaaaa,jamani huku sisi ni saaa tisa na dakika 26 usiku hakuna kulala twasubiri matokeo
mapinduzi daimaaaa
 
WOS - may God clear yr path! Tunakuombea
 
kumbe redet na synovate waligeuza kura zetu wakawapa mafisadi...ona wanavyo aibika sasa...walikazana kujilisha upepo sasa wanatua aibu...
CHADEMA CHADEMA , MY CHADEMA.....MAFISADI ANZENI KUKIMBIA NCHI

Wacha hatoki mtu hapa tunawahitaji Segerea bana khe khe kheeeee wasitufanye kama walivyomfanya Chavda.
 
Synovate na REDET naona wana mengi ya kujibu
 
dada regina jamani!! dah mungu akupe nguvu zaidi. chadema hoyeee
 
askofu karibu jack danny hapa....tulijua GS atashinda tu....waje waongee sasa
I am shading tears already.
She won even before they voted 'yes' for her.
Mungu wetu ni mwaminifu. Wakunyumba hujaniamsha.
 
Habari za uhakika ni kwamba chadema wamechukua kilombero. Hongera mh. Regia Mtema.

Change is real!
 
Habari za uhakika ni kwamba chadema wamechukua kilombero. Hongera mh. Regia Mtema.

Change is real!
Kama ni kweli hongera sana Regina na Hongereni sana wachaguaji wazuri wa Kilombero.
 
Thanks and congratulations mh. Mbuge Madam Regina. Tuwakilishe vyema mjengoni
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…