Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kilombero kuna namna mana tulishashinda kabisa chadema inakuwaje wanachelewa kuliko sehemu zingine?chonde chonde wana Kilombero kazi bado haijaisha lindeni hayo matokeo
Wajameni Chadema mlioko Kilombero wana wa ccm wanachakachua matokeo hawataki kutangaza matokeo Mteketa nasika kaongoza kwa kidogo sana pale ifakara tena kituo kimoja kibao ifakara sasa wana sua sua kutangaza matokeo.
Tusaidieni mliopo Kilombero ndugu zenu wa malinyi siku nyingi wamemaliza kazi tuliyo waomba waifanye na sasa Prof.Mlambiti yuko juuuuuu..
Dada yetu anahangaika sana wanakilombero msaidiani.