Nyunyu
JF-Expert Member
- Mar 9, 2009
- 4,354
- 1,010
askofu karibu jack danny hapa....tulijua GS atashinda tu....waje waongee sasa
Mbona hunikaribisji JD preta, wanywa wapi hiyo!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
askofu karibu jack danny hapa....tulijua GS atashinda tu....waje waongee sasa
Ulanga Mashariki
JK 17,000 plus
Slaa 3000 plus
Habari wanaJF.Mpaka sasa CHADEMA tunaongoza kwa kura 1200 kwa kweli mchuano ulikuwa mkali sana,tulikabana koo si kitoto.Matokeo bado hayatangazwa,awali ilikuwa tutangaziwe saa 6 lakini tumeambiwa tuendelee kuvumilia mpaka saa 9 alasiri.Naamini mambo yatakuwa mazuri.Jimbo limerindima kwa nderemo na vifijo.Wanachama,wapenzi na washabiki wa CHADEMA wanazunguka huko na huko kushangilia ushinidi.Nasikitika sijapata madiwani wa kutosha kuchukua halmshauri.
Kilombero for change.
Asante MUNGU wangu ninayekutumikia.
Regia,Ofisi za Halmashauri (Bomani)-Ifakara.
Regia Mtema mgombea kupia CHADEMA anaongoza kwa mbali sana dhidi ya mgombea wa CCM Abdul Mteketa.Katika vituo 18 Regia anaongoza vituo 14.
Matokeo zaidi baadaye.
Sawa lakini nina wasiwasi huwa unakula mbeguUlanga Mashariki
JK 17,000 plus
Slaa 3000 plus
Kilombero ina kata 23,nimeongoza kata 13.10 amechukua mwenzangu.Ushindani ni mkali sana ingawa nilimfunika sana kwenye kampeni alikuwa hafurukuti.
Habari wanaJF.Mpaka sasa CHADEMA tunaongoza kwa kura 1200 kwa kweli mchuano ulikuwa mkali sana,tulikabana koo si kitoto.Matokeo bado hayatangazwa,awali ilikuwa tutangaziwe saa 6 lakini tumeambiwa tuendelee kuvumilia mpaka saa 9 alasiri.Naamini mambo yatakuwa mazuri.Jimbo limerindima kwa nderemo na vifijo.Wanachama,wapenzi na washabiki wa CHADEMA wanazunguka huko na huko kushangilia ushinidi.Nasikitika sijapata madiwani wa kutosha kuchukua halmshauri.
Kilombero for change.
Asante MUNGU wangu ninayekutumikia.
Regia,Ofisi za Halmashauri (Bomani)-Ifakara.
so umeshinda ubunge au??Kilombero ina kata 23,nimeongoza kata 13.10 amechukua mwenzangu.Ushindani ni mkali sana ingawa nilimfunika sana kwenye kampeni alikuwa hafurukuti.
Hii ni sawa hata hizo 10 yawezekana si za ukweli maana hata hela sasa zinatumika sana kuwahonga waliopo hapo. Be very careful!Kilombero ina kata 23,nimeongoza kata 13.10 amechukua mwenzangu.Ushindani ni mkali sana ingawa nilimfunika sana kwenye kampeni alikuwa hafurukuti.