Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hali si hali kwani baada ya MTEKETA kuonekana kuongoza mambo yamebadilika,na mwana JF mwenzetu biti MTEMA anaongoza kwa kura 1212 lakini hawataki kutangaza na wameanza kuchakachua wanasema watatangaza saa tisa.
Hizi ni habari za uhakika kutoka chanzo cha uhakika
habari za uhakika nilzopata sasa hivi sisiem wameshamaliza kuchakachua na mwanajf mwenzetu amenyimwa ushindi.inasikitisha inahuzunisha lakini hiyo ndiyo hali halisi.
hayo matokeo yaliyochakachuliwa yatatolewa hivi punde taarifa hii ni ya uhakika.tumtie moyo regia katika kipindi hiki kigumu.
</p><font face="Comic Sans MS"><font size="4"><font color="purple">Mungu atakupigania mpendwa.....tunazidi kukuombea.....ushindi ni wako</font></font></font>
Nguvu ya umma itumike. Watu wakubali kuwa mabadiliko hayaji kwa kukaa tunyumbani na kuangalia tv eti unasubiri matokeo! Nendeni pale halmashauri mshinikize kutangazwa kwa matokeo.
Ni kweli watawaumiza lakini si mbaya kuumia kwa ajili ya wengi; hata hao polisi wanafika mahali wanachoshwa na hali. Si mmeona ubungo polisi walivyochoka !