Mimi nasikitika sana kuwa kwani kuna nini majimbo ambayo upinzani ha hasa ule wa Chadema ukiwa unataka kushinda, matokeo ndo yanacheleweshwa vibaya mno!
Prof. alishashinda, Rejia alishashinda, yaani kichwa kinaniuma vibaya, kwanini lakini nec?????
Sehemu zetu zote matokeo kuhesabu tu, inakuwa shida, wakati kupiga kura haikuwa vile. Halafu mbona mwaka huu kura zilizoharibika nyingi sana?????
Nec jamani iwe huru Tanzania Bara