Elections 2010 Matokeo ya awali toka mkoa wa Singida

Elections 2010 Matokeo ya awali toka mkoa wa Singida

Mkulima

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2007
Posts
1,236
Reaction score
1,546
Kondoa Kaskazini

Urais
JK 1285
Prof. 371
Slaa 112


Ubunge
CCM 1250
CUF 621
CHADEMA 55
 
Kanyaga twende, tutawashika tu
 
Hii Kali Kondoa ipo Singida ama kweli wewe ni mjambaji!
 
Kondoa is not in singida. Jamani, kuchakachua mpaka majina ya maeneo? Ama kweli tuna kazi!
 
Samahani wakuu, Geography yangu imegoma. Hilo jimbo ni Kondoa Kaskazini mkoa wa Dodoma.

Inaelekea JF huwa hamkosei!
 
Hata kama kiufisadi fisadi. Mwaka huu sisiem hakuna chao
 
Samahani wakuu, Geography yangu imegoma. Hilo jimbo ni Kondoa Kaskazini mkoa wa Dodoma.

Inaelekea JF huwa hamkosei!


bora umeomba msamaha,
tupate mtu wa Singida jamani
 
Nimeshangaa CUF kupata kura nyingi huko. Nikaambiwa kuna Waislam wengi!
 
Kondoa Kaskazini

Urais
JK 1285
Prof. 371
Slaa 112


Ubunge
CCM 1250
CUF 621
CHADEMA 55

Haya matokeo kwa Singida yanatisha. Nilijua tu mikoa maskini kama singida wanaikumbatia sana CCM wakati huwa inawasahau hata kwenye taarifa za habari hawasikiki.... watabakia kuwa nyuma kimaendeleo kwa kuendekeza ufisadi.:doh:
 
Back
Top Bottom