Misterdennis
JF-Expert Member
- Jun 4, 2007
- 1,741
- 481
kama kawaida yao jf hawawezi ku comments hapo!!!!
hapa umecomment kama nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama kawaida yao jf hawawezi ku comments hapo!!!!
Nimeshangaa CUF kupata kura nyingi huko. Nikaambiwa kuna Waislam wengi!
Samahani wakuu, Geography yangu imegoma. Hilo jimbo ni Kondoa Kaskazini mkoa wa Dodoma.
Inaelekea JF huwa hamkosei!
habari nilizonazo, Tundu Lissu ameshinda nafasi ya ubunge....though sina data kamili
Achana na siasa za wachovu; kwani nawe unaamini kuwa CUF ni chama cha kiislam au vipi hapo! Wananchi wanakiu ya mabadiliko na wameona ni nani anafaa kati ya wagombea walosimamishwa na kufanya kweli. Hongera mabadiliko.Nimeshangaa CUF kupata kura nyingi huko. Nikaambiwa kuna Waislam wengi!
habari nilizonazo, Tundu Lissu ameshinda nafasi ya ubunge....though sina data kamili
Kondoa Kaskazini
Urais
JK 1285
Prof. 371
Slaa
Ubunge
CCM 1250
CUF 621
CHADEMA 55
kama kawaida yao jf hawawezi ku comments hapo!!!!