I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,929
- 10,747
Kulingana na hali ilivyokuwa tangu kutangazwa kwa nominies wa tuzo za bet mwaka huu ilijulikana kabisa kuwa mwana kwetu, mwakilishi wetu hana ubavu kabisa kati ya miamba aliyokutana nayo.
Ni kweli kakosa tuzo ila wadau wa mziki hapa nyumbani tumeumia sana ila safari bado ndefu na nafasi bado tunayo.
Hongera sana Diamond kwa ulipofikia mpaka sasa na kazi iendelee.
Ni kweli kakosa tuzo ila wadau wa mziki hapa nyumbani tumeumia sana ila safari bado ndefu na nafasi bado tunayo.
Hongera sana Diamond kwa ulipofikia mpaka sasa na kazi iendelee.