I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,929
- 10,747
Usiseme chadema, wale wengine si saizi yake acha tukubali ukweli.Tatizo ni chadema nao walitia nuksi
Achaneni na ma CCM...yatawagharimu maisha. Shauri zenu.Kulingana na hali ilivyokuwa tangu kutangazwa kwa nominies wa tuzo za bet mwaka huu ilijulikana kabisa kuwa mwana kwetu, mwakilishi wetu hana ubavu kabisa kati ya miamba aliyokutana nayo.
Ni kweli kakosa tuzo ila wadau wa mziki hapa nyumbani tumeumia sana ila safari bado ndefu na nafasi bado tunayo.
Hongera sana Diamond kwa ulipofikia mpaka sasa na kazi iendelee.
Pambana kijana CCM watatwala mpaka siku ya mwisho wa uhai wako, baki ukilialia kuhusu hao ccm ila wenzako wanafanikiwa ndani ya huohuo uongozi wa ccmAchaneni na ma CCM...yatawagharimu maisha. Shauri zenu.
Acheni basi kutupigia kelele...Pambana kijana CCM watatwala mpaka siku ya mwisho wa uhai wako, baki ukilialia kuhusu hao ccm ila wenzako wanafanikiwa ndani ya huohuo uongozi wa ccm
Waambie hao chaga dema, pengine watakuelewa na lichama lao la kibaguzi. Huku wakiwa na mwenyekiti wao diktetaPambana kijana CCM watatwala mpaka siku ya mwisho wa uhai wako, baki ukilialia kuhusu hao ccm ila wenzako wanafanikiwa ndani ya huohuo uongozi wawanaharaka
Daaah... hata mm barnaboy simuelewi,ila ni ngumu kusema Diamond ni bora kuliko huyu jamaa.Burnaboy nyimbo zake za kawaida tu alafu tuzo na sauti lake linalokoroma.
🤣🤣🤣ni kweli bhana, najua we siyo shabiki wa Diamond kuumia na kufurahi havikusaidii kitu.Sisi wadau hatujaumia acha kutusemea
Ana watu wakubwa wanambeba na kwangu hapo ndipo anapomzidi Diamond sio kiuwezo wa muziki. Nikihesabu nyimbo ninazozipenda za huyu mwamba hata saba hazifiki. Huyu jamaa hata na Davido huwa naona Davido ni mkali sema ndio hivyo jamaa ana nyota.Daaah... hata mm barnaboy simuelewi,ila ni ngumu kusema Diamond ni bora kuliko huyu jamaa.
Uzuri wa huyu jamaa anaidenty yake ya mziki, unaposikia wimbo wake unajua kabisa huyu n mtu fulani pia amekaa kiafrika sana kwenye mfumo wa mziki wake na ndicho kitu kinachompa nafasi kwenye soko la dunia ya muziki.
Kunabaadhi ya nyimbo zake nazikubali zaidi huyu jamaa ni mtu mbaya sana kwenye collaboration, kwa hapo hajawai niangusha, kwa kweli kusema Diamond ni bora kuliko Burnaboy inahitaji moyo sana kwa makubwa aliyofanya ktk tasnia internationaly.
Ila wao wanajisifu kuwa wamesababisha kakosa tuzoUsiseme chadema, wale wengine si saizi yake acha tukubali ukweli.