Matokeo ya chaguzi tano za UVCCM yafutwa, Rushwa yatajwa

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Shaka Hamdu Shaka leo Jumanne Septemba 27, 2022 amesema chama hicho kimefuta matokeo ya chaguzi tano za UVCCM pamoja na kusimamisha chaguzi zaidi ya tatu za Jumuiya ya Wanawake, kutokana na ukiukwaji wa maadili, rushwa na upangaji safu za uongozi.

Chanzo: MwanaHalisi
 
Kwa hiyo kuna sehemu rushwa haikutumika? CCM Bwana, mnatufanya watoto eeh? Kama Mbarali na Ileje hayajafutwa basi huko yalikofutwa labda rushwa ilikuwa inagawiwa barabarani.
Bora CCM uchaguzi unafanyika licha ya changamoto lakini bado zinaweza kuelezwa kama chaguzi bora, vyama vingine vyote isipokuwa CCM uchaguzi wa mwenyekiti ni funika kombe
 
Kama wao wenyewe wana ibiana je nyie wa pembeni itakuwaje?
 
Good
 
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Chama kifute na kutotambua uchaguzi wa uvccm Newala, kura zilizidi idadi ya wajumbe na umeme kukatika mara kwa Mara na hakukua na maandalizi mbadala ya Taa za Sola.
 
Hata haishangazi maana ni kawaida yao
 
Chanzo cha matatizo wizi wa pesa za umma unaanzia hapa,ccm waondolewa kwa nguvu ya Uma watatusumbua sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…