Goli la kwanza Coast wamefungwa kipumbavu, beki kashindwa kumiliki mpira "ulio katika milki yake" na kipa wake anaona beki hajielewi ila bado akaganda golini kama kinyago, ujinga mtupu, goli jepesi mno, Yanga huifungi goli kama lile.
goli jingine winga kapiga krosi nyepesi mno tena ya chini eti kipa wa Coast kaudaka na kuutupia ndani, ujinga mtupu,
yani Coast waliboa mno, walicheza kama timu ya daraja la nne maana hata ndondo cup wasingetoboa kwa Faru Dume FC, wachezaji walicheza kama vile wanadai posho hazijalipwa , wako legelege kama timu ya wadada , hawana haraka, no pressure, ilionesha aidha coast walipewa hela au wachezaji ndo mara ya kwanza kwenda nje ya nchi na wakabaki kushangaa jiji badala ya kucheza mpira ! Ujinga pro Max
Next time waende KMC hawa coast hamna wachezaji mle!! Coast watulipe muda tuliotumia kucheki mechi yao na bando tulilolipa Azam. Next time wajitoe tu mashindano ya CAF hawawezi.