Malyenge
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 6,658
- 3,659
Wakuu matokeo ya CPA kwa waliofanya mwezi mei 2013 yametoka....Haya hapa. Pata nakala yako...
Ukiona wameandika May 2012 ujue hapo ni May 2013 na hapa ni Module A na Module B ndo wamejisahau. Tafadhali zingatia hilo kwa maana wamesahau kuandika May 2013.