Matokeo ya cpa may 2013 haya hapa!!!!!!!!

Matokeo ya cpa may 2013 haya hapa!!!!!!!!

Malyenge

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
6,658
Reaction score
3,659
Wakuu matokeo ya CPA kwa waliofanya mwezi mei 2013 yametoka....Haya hapa. Pata nakala yako...
Ukiona wameandika May 2012 ujue hapo ni May 2013 na hapa ni Module A na Module B ndo wamejisahau. Tafadhali zingatia hilo kwa maana wamesahau kuandika May 2013.
 

Attachments

Shukrani kwa ushauri wako na nitaufanyia kazi na nitakupa report hapo december,Mungu atujalie uzima tu
 
Back
Top Bottom