Matokeo ya CSEE 2012 Yabatilishwa.

Matokeo ya CSEE 2012 Yabatilishwa.

frankz

New Member
Joined
May 3, 2013
Posts
1
Reaction score
1
National Examination Council of Tanzania (N.E.C.T.A) MATOKEO KIDATO CHA NNE KUPANGWA
UPYA Serikali imetangaza uamuzi wa
kupanga upya matokeo ya kidato cha
nne ya 2012. Uamuzi huo
umetangazwa mapema leo bungeni na
Waziri William Lukuvi, kwa niaba ya
Waziri Mkuu. Uamuzi umetokana na kamati ya waziri mkuu iliyokuwa
inachunguza kuhusu matokeo hayo
kubaini kuwa matokeo hayo
yalipangwa kwa utaratibu tofauti na
uliokuwa unatumika zamani. Tetesi za awali zilieleza kwamba
matokeo hayo yalipangwa kwa
kuzingatia madaraja haya hapa chini,
japo Baraza la Mitihani lilikanusha
baadaye kwa kusema kuwa taarifa
hizo hazikuwa za kweli: A = 80%-100%-
B = 65%-79%-
C = 50%-64%-
D = 35%-49%-
F = 0%-34%- Tume ya Waziri Mkuu imebaini
kutumika kwa madaraja tofauti na
uataratibu wa awali. Hivyo basi,
matokeo yaliyotangazwa hayatatumika
tena mpaka yaje yaliyopangwa upya.
HakiElimu itatoa taarifa rasmi baadaye kuhusu uamuzi huu wa serikali.
 
Naipongeza sana serikali kwa kufanya uamuzi huu wa kutengua matokeo ya kidato cha nne 2012.
 
National Examination Council of Tanzania (N.E.C.T.A) MATOKEO KIDATO CHA NNE KUPANGWA
UPYA Serikali imetangaza uamuzi wa
kupanga upya matokeo ya kidato cha
nne ya 2012. Uamuzi huo
umetangazwa mapema leo bungeni na
Waziri William Lukuvi, kwa niaba ya
Waziri Mkuu. Uamuzi umetokana na kamati ya waziri mkuu iliyokuwa
inachunguza kuhusu matokeo hayo
kubaini kuwa matokeo hayo
yalipangwa kwa utaratibu tofauti na
uliokuwa unatumika zamani. Tetesi za awali zilieleza kwamba
matokeo hayo yalipangwa kwa
kuzingatia madaraja haya hapa chini,
japo Baraza la Mitihani lilikanusha
baadaye kwa kusema kuwa taarifa
hizo hazikuwa za kweli: A = 80%-100%-
B = 65%-79%-
C = 50%-64%-
D = 35%-49%-
F = 0%-34%- Tume ya Waziri Mkuu imebaini
kutumika kwa madaraja tofauti na
uataratibu wa awali. Hivyo basi,
matokeo yaliyotangazwa hayatatumika
tena mpaka yaje yaliyopangwa upya.
HakiElimu itatoa taarifa rasmi baadaye kuhusu uamuzi huu wa serikali.

1. Serikali inatafuta mchawi wakati mchawi ni yenyewe.
2. Kwa vile serikali imekuwa ikichezea maslahi ya walimu, kubadilibadili mitaala ya elimu kutoka "good to bad"
3. Kushusha maksi za ufaulu
4. Kufanya somo la hisabati lijibiwe kwa kubahatisha (multiple choice)
5. Kukataa kata kuboresha mazingira ya kazi
6. Hata wafanye nini bado wanafunzi wataendelea kufeli tu.
 
Back
Top Bottom