mahindi hayaoti mjini JF-Expert Member Joined Nov 29, 2022 Posts 2,120 Reaction score 2,709 Dec 2, 2022 #21 Serikali hongera sana kwa kujitahidi kusomesha wengi
pilato93 JF-Expert Member Joined Jun 28, 2014 Posts 6,296 Reaction score 6,692 Dec 3, 2022 #22 Cushite said: Jamani hao ni wahitimu wa Elimu ya msingi. Tangu lini wameshanza kuwa mizigo?? Hao si bado watoto au!!!! Au hawakupaswa kupata Elimu ya msingi? Click to expand... Mtu anamalizaje hajui kusoma
Cushite said: Jamani hao ni wahitimu wa Elimu ya msingi. Tangu lini wameshanza kuwa mizigo?? Hao si bado watoto au!!!! Au hawakupaswa kupata Elimu ya msingi? Click to expand... Mtu anamalizaje hajui kusoma