Matokeo ya darasa la saba 2022 yametoka?

Msumb

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2022
Posts
3,452
Reaction score
5,372
Mambo vipi humu jukwaani natumaini mko poa wote,

Nije kwenye swali, naomba kuuliza je? Matokeo ya darasa la saba kwa mwaka huu 2022 yatakuwa yametoka ama bado?

Maana nimeingia ukurasa wa Necta balaza la mitihani hakuna kitu sana sana nimekuta ya 2019,2020,2021 basi, je yatakuwa bado,
 
Sasa kama umeingia kwenye website ya NECTA na hujayakuta...sisi tufanyaje.

Sema kwa miaka mitatu yamekuwa yakitangazwa siku za jumamosi ya mwisho wa mwezi Novemba.
 
Kwahiyo kuanzia kesho sio[emoji1545]
 
Matokeo ya-kitoka lazima wataweka Katika web-site Yao na huu ndo uhakika Mambo ya-kuokota link na ku-share Hapa ni upuuzi .
 
Mwaka 2001 yalitoka 24.12 nikawa nimechaguliwa peke yangu kata nzima, miaka 21 baadae mimi ndiye masikini kuliko wote tuliosoma darasa moja.
Huu mtumbwi tumepanda wengi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Weka link ya matokeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…