Matokeo ya darasa la saba 2022 yametoka?

Mwaka 2001 yalitoka 24.12 nikawa nimechaguliwa peke yangu kata nzima, miaka 21 baadae mimi ndiye masikini kuliko wote tuliosoma darasa moja.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwaka huu yamechelewa sijui kuna siri gani
 
Nije kwenye swali, naomba kuuliza je? Matokeo ya darasa la saba kwa mwaka huu 2022 yatakuwa yametoka ama bado?
Yametoka tayari.
=
Ingia hapa
Code:
https://matokeo.necta.go.tz/psle2022/psle.htm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…