Matokeo ya darasa la saba 2022 yanatoka lini?

Matokeo ya darasa la saba 2022 yanatoka lini?

BakalemwaTz

Senior Member
Joined
Jul 14, 2017
Posts
120
Reaction score
125
Kumekua na maswali Mengi juu ya kutoka kwa matokeo ya mtihani wa darasa la saba mwaka huu 2022. Darasa la saba walifanya mtihani wao tarehe 5 na 6 mwezi octoba. Kwa mwaka jana matokeo yalitoka tarehe 30 mwezi october kitu kilichofanya tuone yametoka mapema. Kwa mwaka huu yawezekana yakaja kwa kuchelewa though kama yatakua yametoka ni imani yangu tutaweza kuyapata kupitia uzi huu wa JF

step 1.png
 
Mbona hawaleti majibu bana ujue walimu ndo tunaoyaugulia hayo matokeo kuliko watahiniwa wenyewe
 
Kwa hiyo kama mwaka jana yalitoka 30 October mpaka sasa ni karibia mwezi tofauti na mwaka jana,Isije kuwa kuna uchakachuzi
 
Mbona hawaleti majibu bana ujue walimu ndo tunaoyaugulia hayo matokeo kuliko watahiniwa wenyewe
Yakitoka vibaya huwa yanaathiri mshahara wako kwa namna yoyote ile?
 
Mwaka Jana mtihani ulifanyika September Mwaka huu mtihani umefanyika October sababu ya sensa hiyo ndo sababu ya kuchelewa.
 
Mwezi wa Novemba ndo umeisha. NECTA wanatoa lini matokeo ili tujiandae?
 
Back
Top Bottom