Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
Hata mimi nashangaa lengo lao sijui niniNaona hawataki kuweka ranks za shule kiwilaya, kimkoa na hata kitaifa, au mimi ndio sijaona!!?
Nafkiri wameondoa kwa maksudi kabisaHata mimi nashangaa lengo lao sijui nini
Ni vyema ,kulikuwepo na ujinga mnoo ,shule ina wanfunzi 50 inalinganishwa na shule yenye wanafunzi mia mbiliNafkiri wameondoa kwa maksudi kabisa
Sasa watasababisha privates zishindwe kujinadi kupata wateja [emoji4][emoji4]
Hili swali pia nami najiuliza!Hivi kwa shule ambazo matokeo yanaonesha *W inamaanisha nini?
Je ni withheld kwa maana ya kushikiliwa au Ndio kufutiwa kwenyewe?
Je na kwa Wanafunzi waliandikiwa hivyo au kufutiwa wanaweza kuruhusiwa kuendelea na masomo kwa shule za Private?
Hiyo ndo basi tena. Labda afanye mtihani kama private candidateHivi kwa shule ambazo matokeo yanaonesha *W inamaanisha nini?
Je ni withheld kwa maana ya kushikiliwa au Ndio kufutiwa kwenyewe?
Je na kwa Wanafunzi waliandikiwa hivyo au kufutiwa wanaweza kuruhusiwa kuendelea na masomo kwa shule za Private?
BARAZA LA mitihani Tanzania (NECTA) Linatarajia kutangaza matokeo ya kuhitimu elimu ya msingi leo. NECTA wametoa taarifa hizo katika kurasa zake za mitandao ya kijamii. Unaweza kuangalia matokeo hayo katika tovuti za NECTA na tovuti nyingine mtandaoni.
========
Baraza la mitihani Tanzania (NECTA) Limetangaza matokeo ya kuhitimu elimu ya msingi 2022
Angalia matokeo hapa: Matokeo ya darasa la saba 2022
Not Found
The requested URL was not found on this server.
Ndo nimekutana nacho why?
Nenda idara ya elimu sehemu ulipo kitabu cha alama huwa wanatoa kwa kila halmashauriUkitaka kujua mtoto kapata A ya ngapi kwa Namba unafanyaje hapo?
Halafu ilikuwa Ina encourage wizi wa mitihaniNi vyema ,kulikuwepo na ujinga mnoo ,shule ina wanfunzi 50 inalinganishwa na shule yenye wanafunzi mia mbili
Ha ha haaaaa...hapo lazima jamaa achanganyikiwe Ila kuiba pepa kubaya jamaniHiyo ndo basi tena. Labda afanye mtihani kama private candidate
Kweli ni kubaya, na hapa Ndio inakuwa kubaya Mara mbili au tatu! Mtoto nimemsomesha kwa gharama kwa miaka kumi katika shule husika, hlf mwishoni ndio yanatokea haya mbaya zaidi si kwa utashi wangu wala wa mtoto bali kwa tamaa za wamiliki wa shule (hisia zangu). Unaona jinsi inavyoathiri Wazazi na Mtoto husika?Ha ha haaaaa...hapo lazima jamaa achanganyikiwe Ila kuiba pepa kubaya jamani