Kunguru Mjanja
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 2,046
- 3,971
Droo ya EUROPA league imechezeshwa leo mjini Monaco. Katika droo hii haya ndio makundi ya michuano hiyo msimu wa 2017/18
Vilevile mchezaji wa Manchester United Paul Pogba amekuwa mchezaji bora wa michuano hiyo katika msimu uliopita
Vilevile mchezaji wa Manchester United Paul Pogba amekuwa mchezaji bora wa michuano hiyo katika msimu uliopita