GEORGE OLD TOZY
New Member
- May 24, 2013
- 4
- 2
kutokana na taarifa nilioipata hiv punde inasemekana kwamba matokeo hayo yatatangazwa muda wowte kuanzia sasa...hivyo walengwa munaombwa kuwa na subira na baraza linawaomba radhi kwa presha na figisu.
Figisu iliowapaten
Join Date : 24th May 2013
Posts : 1
Rep Power : 0
Likes Received :0
Likes Given :2
yan ndo umejiunga kwa ajili ya kudanganya watu?
Kesho j 3 ni results za form 4 tu, form 6 ni few days 2 comeAcheni ubishi enyi Msioamini.
Ni kweli Matokeo yanaweza kutoka leo Jumapili au kesho Jumatatu.
Jamaa waliopo NACTE wanapiga mzigo mpaka leo Jumapili.
Na kwa uhakika ni kwamba yatatoka yote ya Form 4 na Form 6!!