Matokeo ya fm 6 2013 yapo karibu..

Matokeo ya fm 6 2013 yapo karibu..

GEORGE OLD TOZY

New Member
Joined
May 24, 2013
Posts
4
Reaction score
2
kutokana na taarifa nilioipata hiv punde inasemekana kwamba matokeo hayo yatatangazwa muda wowte kuanzia sasa...hivyo walengwa munaombwa kuwa na subira na baraza linawaomba radhi kwa presha na figisu.
figisu iliowapaten
 
Figisu iliowapaten

umeskia wapi hizo taarifa?
 
Subirni mkangaao nyie watoto,matokeo yanakuja kukaguliwa na obama kwanza!
 
Join Date : 24th May 2013
Posts : 1
Rep Power : 0
Likes Received :0
Likes Given :2

yan ndo umejiunga kwa ajili ya kudanganya watu?
 
Jamani kuweni wapole matokeo yatatoka hata iwe lini kata sisi mwaka jana tulikua na vimuhe muhe ila mambo yakajipa........
 
Acheni ubishi enyi Msioamini.
Ni kweli Matokeo yanaweza kutoka leo Jumapili au kesho Jumatatu.
Jamaa waliopo NACTE wanapiga mzigo mpaka leo Jumapili.
Na kwa uhakika ni kwamba yatatoka yote ya Form 4 na Form 6!!
 
Kesho j 3 ni results za form 4 tu, form 6 ni few days 2 come
 
Mnabishana nyie kwa nyie tu mijamaa imetulia tuli! Mungu atupe uzima tuyaone hayo matokeo!
 
Eti jamaa waliopo "NACTE" kweli njia ya muongo ni.....
 
Back
Top Bottom