CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,357
- 6,424
Kwani matokeo yameshatoka?
unaishi dunia gan
endelea kushangaaa
unaishi dunia gan
endelea kushangaaa
Bongo Tamu sana mh.madogo wakifel wanaupgrade results iliionekane kiwango cha ufaulu kimeongezekaaaa
BRN for life but mjue mnatengeneza Bomu la kizazi kijacho
shukuru "kawa" mbwa. Gpa mpaka za 5.0, brn manina zao
Tujipongeze kwa ufaulu kuongezeka by 3% due to knowledge gain au ni kupanua magoli kwa hiyo kila mmoja anaweza kufunga as long as anashoot directly to the two goal posts!(Big Results Now outcome)
Pole sana mkuu.....
Hapo hakuna tofauti na huu mchezo uliokuwa unafanyika wakati wa kuapisha viongozi wa SM...
Yaani unaweka matokeo halali kando na kumwaga data wanazotaka kusikia wakubwa.
Bongo raha sana!!
Mkuu ni results za form 2 wa 2014 sio wa 2015
Mkuu ni results za form 2 wa 2014 sio wa 2015
Kwani 2015 wameshafanya mtihani au?
Ni 2014 please