Matokeo ya form 2, 2015

Matokeo ya form 2, 2015

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2011
Posts
12,357
Reaction score
6,424
Tujipongeze kwa ufaulu kuongezeka by 3% due to knowledge gain au ni kupanua magoli kwa hiyo kila mmoja anaweza kufunga as long as anashoot directly to the two goal posts!(Big Results Now outcome)
 
Pole sana mkuu.....

Hapo hakuna tofauti na huu mchezo uliokuwa unafanyika wakati wa kuapisha viongozi wa SM...

Yaani unaweka matokeo halali kando na kumwaga data wanazotaka kusikia wakubwa.

Bongo raha sana!!
 
Bongo Tamu sana mh.madogo wakifel wanaupgrade results iliionekane kiwango cha ufaulu kimeongezekaaaa

BRN for life but mjue mnatengeneza Bomu la kizazi kijacho
 
Tujipongeze kwa ufaulu kuongezeka by 3% due to knowledge gain au ni kupanua magoli kwa hiyo kila mmoja anaweza kufunga as long as anashoot directly to the two goal posts!(Big Results Now outcome)

Mkuu ni results za form 2 wa 2014 sio wa 2015
 
Pole sana mkuu.....

Hapo hakuna tofauti na huu mchezo uliokuwa unafanyika wakati wa kuapisha viongozi wa SM...

Yaani unaweka matokeo halali kando na kumwaga data wanazotaka kusikia wakubwa.

Bongo raha sana!!

Ndiyo TZ, unawapa watoto mtihani ambao hata ambaye haku-concentrate kusoma atafaulu halafu unasema BRN
 
wale wa mwaka jana walofaulu na wastan wa 20% ni mizigo wengi walikuwa hawapendi shule walitegemea wakifel wakapumzike wamepitishwa ni wajeuri mbaya
 
Back
Top Bottom