Salmin Da Stump
Member
- Feb 2, 2013
- 19
- 0
Kwan mwandish aliepost hii network haipandi mbona kama yuko uingereza halaf anatumia sim card ya tigo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jamani matokeo yatakuwa hewani leo kuanzia saa moja ........ila saa kumi waandishi wa habali watakuwa pale kumsikliliza naibu wazili
ila kwa kifupi ni kwamba......nimesikia kiwango kimeongezeka asilimia tatu tofauti na mwaka na nimesikia watahininiwa 2345
wamefutiwa matokeo......shule tisa hazina matokeo..........source nimepewa na one of my friends wanaofanya kazi baraza......alinipigia simu